Mchezo wa Darts kwa upande wa Wanaume Tanzania iliwasilishwa na Yahya Masare ilipoteza kwa 2-0 lakini Masare akasahihisha makosa na kuwachapa Bunge la Afrka Mashariki kwa 2-0
Mchezaji mwingine Kwa upande wa wanaume Yahya Mhata alipoteza kwa 0-2 dhidi ya Uganda, lakini na yeye akalipa kisasi kwa Sudani Kusini kwa Ushindi wa 2-0.
Kesho jumatano Bunge SC-Soka maarufu kama Tulia Boys ambayo imejizolea umaarufu kutokana na soka la kuvutia itavaana na Wenyeji Rwanda.
Taarifa na Cosato Chumi Gaza Mbunge wa Mafinga Mjini na Captain wa Bunge SC -Soka.
0 Comments