UFUNGUZI WA VALVU YA KURUHUSU MAJIMOTO WAFANYIKA LEO MBEYA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akishuhudia kufunguliwa kwa valvu  ya kuruhusu majimoto yanayotoka ardhini kupita katika kisima cha utafiti wa Jotoardhi  katika eneo la Kiejo-Mbaka Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya leo Februari 20, 2024 


Anayefungua Valvu ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya Uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania ( TGDC), Mhandisi Mathew Mwangomba. 




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post